Tuesday, January 31, 2012

MUNGU ANATENDA MAKUU

Napenda kukutia moyo wewe mpendwa wa Mungu wetu kwamba usikate tamaa. Huu ni wakati wako wa kupokea, mweleze Mungu mipango yako naye atafanya ( mithali 3 : 5). Mungu anafanya yote hasa yale ambayo wewe unaona kuwa hayawezekani. Hebu leo jaribu tu kumweleza Mungu halafu mwachie yeye kisha utaona milango ya mafanikio inafunguka.

No comments:

Post a Comment