Fimbo ya Musa Ministry inawatakia watu wote HERI YA CHRISTMAS na MWAKA MPYA NJEMA.
Tunapenda kukumbusha mpendwa kuwa hebu kaa chini na utafakari kwa makini ni mambo mangapi ambayo Mungu amekutendea mwaka huu na ujiulize kama ulistahili au ulitendewa kwa neema tu.
Tafakari njia zako kwa mwaka mzima kama zimempendeza Mungu kisha chukua hatua sahihi katika kipindi hiki kutengeneza mambo yako ili mwaka 2012 uwe mwaka wa wewe kumuona Mungu.
Soma Kutoka 12:1....

MUNGU WETU NA AKUBARIKI
No comments:
Post a Comment