Tuesday, February 14, 2017

FIMBO YA MUSA GOSPEL ARTISTS


Fimbo Ya Musa Gospel Singers wanatarajia kurekodi wimbo wao unaoitwa SI UJINGA hivi karibuni, na baadae albamu yao ya kwanza.
Kaa tayari kupokea baraka hizi kupitia huduma ya uimbaji waliyopewa kwa Neema ya Mungu watumishi hawa.

No comments:

Post a Comment