Tuesday, August 30, 2016

MAFUNDISHO YA NENO KUPITIA FACEBOOK "LIVE"

NEWS NEWS
Mwl. LUKIKO L, AMEANZA RASMI VIPINDI VYA NENO LA MUNGU KWA NJIA YA FACEBOOK

Mafundisho haya yanarushwa LIVE kupitia personal Facebook page yake ya Vedastus Lukiko kuanzia saa 2:00 usiku (saa za Africa mashariki) [20:00 hrs, EAT).

Somo la jana lenye kichwa kisemacho maisha yako sio kwa ajili yako tu*linapatikana pia kupitia page yake ya Facebook. Tunamshukuru Mungu zaidi ya watu 20 walikua wakifuatilia somo hilo *live Na zaidi ya watu 180 wameangalia recorded video ya somo hilo.

KARIBU UUNGANE NASI LEO TENA SAA 2:00 USIKU.

YEREMIA 50:5
"Watauliza habari za Sayuni, na nyuso zao zitaelekea huko, wakisema, Njoni ninyi, mjiunge na Bwana, kwa agano la milele ambalo halitasahauliwa

No comments:

Post a Comment