Thursday, September 15, 2011

MUNGU NI MUWEZA

Kila anayemtegemea MUNGU kamwe haaibiki, fimbo ya musa tumemuona MUNGU akituinua kwa namna ya ajabu sana katika maeneo tuliyopitia. Hakika hatuwezi kumwacha huyu MUNGU, hebu na wewe jaribu uuone utamu wa kuwa ndani ya YESU

No comments:

Post a Comment